Sauti za Africa ilianzishwa kama mtangazaji wa muziki safi sana ya kizamani na vile vile ya kisasa kuleta burudani, na taarifa mbali mbali kutika bara la Africa na visiwa vyote viliyopo pale. Mkurugenzi wa stesheni hii ni Yasin Dewji ambaye alizaliwa Tanzania lakini alpata fursa ya kusoma na kuishi miaka mingi hapo Canada. Sauti za Africa inshirikiana na biashara mbali mbali hapo Canada na Africa na imejipanga vizuri sana kuaanda eneo kubwa ya kukusaidia wewe kutumia huduma yetu ya kutangaza biashara yako. 

Ni rahisi kuwasiliana nasi...contact us for advertising opportunities

© 2019  by THINKBIG GROUP INTERNATIONAL.