top of page

ABOUT THE FOUNDER
Sauti za Africa ilianzishwa na Yasin Mohamed takribani mwaka 2016. Tangu mwanzo wake, shirika hili lilikuwa miongoni mwa waliotambua mapema kuenea kwa muziki wa Afrika kimataifa, ikiwemo Afrobeat, Ndombolo, Bongoflava, na mitindo mingine mingi ya muziki wa Kiafrika.
Mwanzilishi amewekeza kwa kiasi kikubwa katika usimamizi wa miradi, masuala ya fedha, na usalama wa mitandao (cybersecurity) ili kulifanya shirika hili kuwa mstari wa mbele katika sekta ya vyombo vya habari na burudani, huku likitoa msisitizo maalum kwa kuendeleza na kukuza lugha ya Kiswahili.
Karibuni





bottom of page